Kimilidzo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 1,346
- 625
Daaaah kwa mara ya kwanza tangu WC hii imeanza ndo nayaona machungu ya muhongo na tanesco yake daah
Nitamshuhudiaje Suarez leo
Yule Babu Muhongo kama angekuwa anatembea kwa miguu akipita kitaani kwangu namuitia mwiziiiiiiii ili wananchi wamgombanie. Mi nilishajipangia dakika tano Belo Horizonte, dakika tano Natal,,, naishia kuangalia JF

