World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Duuuh.....!! Team yangu imetoka. Haya mashindano kwa upande wangu yatakosa msisimko sasa.
 
Hivi timu za Ulaya nini kimewapata? Maana hadi sasa timu zote za America zimepita
 
Naona kadi nyekundu hii game ya italy zinaendelea kutembea sasa kiongozi wa italy kapigwa nyekundu kwa kulalalamika
 
Mpuuzi Suares atapigwa ban tu ...mechi 3 au zaidi. ndiyo mechi yake ya mwisho hii
 
Back
Top Bottom