raha imeenda wapi tena
Italy kafa siku ya Mshahara....
hivi timu za ulaya nini kimewapata? Maana hadi sasa timu zote za america zimepita
Na wenyewe next week wanaagatimu zote nilizokuwa nashabikia zimetoka. narudi afrika sasa
Suarez kweli vampire kashamng'ata mtu huku ila refa haja ona