Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Duuuh.....!! Team yangu imetoka. Haya mashindano kwa upande wangu yatakosa msisimko sasa.
Hahahaaah,,,,,huyu jamaa achunguzwe, huenda ni uzao wa ma-vampire.
Duh,,,,,ni balaa kwa kweliMkuu haya mashindao yataleta maajabu sana, matimu yenye majina makubwa yote Open University Of Tanzania-OUT
Hahahaaah,,,,,huyu jamaa achunguzwe, huenda ni uzao wa ma-vampire.
Bye,,,Bye bye Italia
Ivory cost leo wana toka rasmi!
Fifa hapa lazima wamfungie maana si jambo la hekima