World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Prandelli aende sasa, hilo la washambuliaji nililisema kipindi katangaza kikosi chake.
Ukiacha na hao mbinu zake za kufundisha zimekua dhaifu sana, unaweza jiuliza hata England tuliwafungaje, tumecheza chini ya kiwango kupita maelezo, hata baada ya kufungwa huoni uharaka wowote wa wachezaji kufika golini, wachezaji wenye kasi wamekaa bench au wameachwa nyumbani, hatupigi mashuti yaani ni disaster
#PrandeliOUT

Nafikiri aliongezewa mkataba hadi Euro 2016,timu inatakiwa wampe Conte
 
Prandelli aende sasa, hilo la washambuliaji nililisema kipindi katangaza kikosi chake.
Ukiacha na hao mbinu zake za kufundisha zimekua dhaifu sana, unaweza jiuliza hata England tuliwafungaje, tumecheza chini ya kiwango kupita maelezo, hata baada ya kufungwa huoni uharaka wowote wa wachezaji kufika golini, wachezaji wenye kasi wamekaa bench au wameachwa nyumbani, hatupigi mashuti yaani ni disaster
#PrandeliOUT

kaka mkuu shifta yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Liverpool chant next season: "He'll shoot, he'll score, he'll eat your arm and more. Luis Suárez. Luis Suárez."

Cc: Pazi
 
Last edited by a moderator:
"Luis Suarez should only be allowed to play football again if he wears an FA approved muzzle".
 
WENGI ISSUE YA SURAEZ MNAONA PICHA TU HEBU ANGALIA HII VIDEO .

Last edited by a moderator:
dah uyu suarez amekuwa simba sasa!!!!

suarez hajamuuma kilichotokea alipigwa kipesi kwanza naye akajibu wa kupiga kichwa beki kwa kujitetea naye karudisha kwa lakini wakati huu kwenye mdomo na kilichotokea ndicho hicho
 
Wadau naombeni matokeo huku kwangu ni giza tu,na huyu Suarez kafanyaje?
 
suarez hajamuuma kilichotokea alipigwa kipesi kwanza naye akajibu wa kupiga kichwa beki kwa kujitetea naye karudisha kwa lakini wakati huu kwenye mdomo na kilichotokea ndicho hicho

Punguza ushabiki Suarez ndio alianza kumngata Chielini wakati anachomoa mkono ndio akamgonga

Hii ni Mara ya 3 Suarez anafanya kitendo kama hicho
 
Back
Top Bottom