Prandelli aende sasa, hilo la washambuliaji nililisema kipindi katangaza kikosi chake.
Ukiacha na hao mbinu zake za kufundisha zimekua dhaifu sana, unaweza jiuliza hata England tuliwafungaje, tumecheza chini ya kiwango kupita maelezo, hata baada ya kufungwa huoni uharaka wowote wa wachezaji kufika golini, wachezaji wenye kasi wamekaa bench au wameachwa nyumbani, hatupigi mashuti yaani ni disaster
#PrandeliOUT

kafanyaje kwani
Nafikiri aliongezewa mkataba hadi Euro 2016,timu inatakiwa wampe Conte
Ghana mabingwa wa world cup? Najitoa JF ikitokea hivyo.......!!
Conteee er NOPE, kocha wa Fiorentina ndio apewe mikoba, Conte wetu bado tunamuhitaji
dah uyu suarez amekuwa simba sasa!!!!
Montela hata Scudeto hajawahi kuchukua
suarez hajamuuma kilichotokea alipigwa kipesi kwanza naye akajibu wa kupiga kichwa beki kwa kujitetea naye karudisha kwa lakini wakati huu kwenye mdomo na kilichotokea ndicho hicho