Nimeangalia mpira na nimeona reply zote.Why Chielini ampige kiwiko while mpira ulikuwa upande mwingine,kama uliona Suarez alivyomng'ata Ivanovic inafanana na hii ya leo.Suarez ukimkaba man to man huwa anapanic sana ndio kilichotokea leo
hapo ndo utajua Wataliano kina nani..subiri mda ufike.
Uruguay wanapenda kucheza viatu; hizi mechi ndo huwa zinampa ujiko MARIO hizi hizi..
Suarez World Cup ndiyo imefikia ukingoni, FIFA watampa kibano cha at least mechi tatu.
kweli wewe umeangalia maaana wengine wamekalia moja tu hawaangalii nini kilitokea kwanza.
Mungu naomba kikombe hiki cha kutolewa mapema kimuepuke Andre Pirlo lkn sio kama ninavyotaka mm bali mapenzi yako yatimizwe!!
baada ya wimbo wa taifa unalala tu..Mie katika mechi hizi za kimataifa za soka ni kuona reaction ya wacheza pale ambapo nyimbo zao za Taifa zinapopigwa, huwa sipendi kabisa kukosa kuangalia nyimbo za Taifa hata kama sielewi lugha yao.