Nahisi ni position tu!jamani ni mimi tu au kila mtu anaona kiwango cha yaya toure hakiridhishi WC Hii??
jamani ni mimi tu au kila mtu anaona kiwango cha yaya toure hakiridhishi WC Hii??
tatizo anachezeshwa kama "holding midfielder"
Mwanangu upo? Umepotea Ndugu Yangu nguvu
hii game ya ushindi kabisa
#TeamAfrica
kama usemayo ni kweli inasikitisha....mimi nahisi msiba wa kaka yake umemuathiri....