World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kama usemayo ni kweli inasikitisha....mimi nahisi msiba wa kaka yake umemuathiri....

Alikua anambwanda toka game 1, msiba kisingizio tu in fact ana two holding midfielders nyuma yake, Tiote na yule jamaa alimwaga mchozi juzi kati, anachezea Basel sikumbuki jna lake vizuri, sijui ni Diaye?!
 
Drogba bora angeazia benchi. Kawa mzito, umri umeenda, sharpness imepungua sana. Bora Wilfred Bonny
 
Back
Top Bottom