World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamn ivory coast wanapata nafasi nyingi wanachezeya hivi hizi timu za Africa ndo kusema stimu zinapanda wanapofungwa goli kwanza.
 
Kwa kweli kuna vitu vinakosekana kwa timu za Afrika, ari na kujituma. Watu wanacheza kama vile wako mazoezini...
 
yaani gervinho ndio best player wangu kwa ivorians!!
 
hawa wehu kabisa hawataki kupeleka mpira mbele wanacheza pasi kwenye goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…