World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mimi naomba Bosnia ashinde tu,ila wairan sio wabaya,Mungu atusaidie tupeleke hata timu moja jamani
 
Nigeria pigeni hao waargentina,hamna kitu,na France mtamtoa kilaini
 
Hivi jamani hili shetani la kushinda na kushindwa kuzuia goli waafrica tumelitoa wapi?
Maana naona toka mechi ya ghana linatuandama tu!aagggrrhh..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…