World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

_75836513_musasecondgoal2.png
 
Leo ni piga nikupige
Mussa ananipa raha sana
kama messi akipaga la tatu na mussa naye anapiga hivyo leo FIFA waandae mipira miwili
 
Higuan ni mkosa magoli mzuri sana. Hii ni nzuri kwa Nigeria.
 
Daaah Messsi aliipiga hata ilipompitia kwa nyuma,huyu dogo huyu balaa
 
Hivi huyu refa mbona tunachezawa rafu anajifanya kama haoni?
Ila messi akikabwa tu kidogo anapuliza filimbi
Kuna kajiupendeleo fulani ukifuatilia kwa makini!
 
Back
Top Bottom