na ndipo bingwa mtetezi alipigwa mkono hapa?huu uwanja wa elsaldo ambao iran wanacheza tayari magoli 21 yamefungwa tangu game ya kwanza
Huyu Kipa Wa Nigeria anachekacheka hovyo sana...
Ndio kapita maana iran aliyekuwa anamtisha amepigwa.Wakuu Nigeria kapita kweli even though kafungwa?
Argentina wa kawaida sana.
The closing 25 minutes of this match proves that Argentina-Messi= Beatable.
nigeria sasa wanacheza mpira tuliokuwa tunaka sasa