World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wakawaida sanaaa, magoli yao yote yamefungwa na Messi na moja la kujifunga.
Bila Messi Argentina ni sawa na tu na Chipolopolo

Si ndo hapo yaani hata Ghana wanampira wa ukweli kuliko hawa Argentina ila nidhamu ya kutafuta ushindi wa pamoja ndo tatizo.
 
Kudos to EAGLES!Kama sio ubitoz wa Ivory Coast jana tungekuwa na teams mbili so far round ya pili
 
Nigeria wakicheza na timu kubwa wanabadilika hadi unashangaa.....
 
waungwana jukwaa la siasa kuna msiba nanyi mmesikia? nataka kufahamu kama ni kweli
 
Back
Top Bottom