LWITIKO LWITIKO
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 209
- 118
Ha ha ha haaah,,,,,jamani sio vizuri...
kidogo imepungua kwa leo.Presha tupu kama kawaida
Kwangu man of the march ni Musa..
kidogo imepungua kwa leo.
Afadhali Nigeria kaingia 16 bora,sasa tunamsubiri France,Ecuador au Switz
Wakawaida sanaaa, magoli yao yote yamefungwa na Messi na moja la kujifunga.
Bila Messi Argentina ni sawa na tu na Chipolopolo
Too late....Its over
Kwangu man of the march ni Musa..
Nasubiri Ghana kesho wakomae kufa na kupona.
Too late wapi na akati Nigeria kashapita tayari.