huyu lazima apige hat-trick leo
Amepita mkuu
haaa huyu mchezaji wa Ecuador na damu kichwan kwan hakuna wengine?
leo utafikiri zinacheza timu za africa uwanja umejaa black people
Ishara tosha ya ukubwa wa bara la Afrika na mateso ya utumwa!leo utafikiri zinacheza timu za africa uwanja umejaa black people
Ferguson sijui atakuwa anajisikiaje akimuona dogo Pogba anavyong'ara ..
Kila kocha na makosa yake,
Switz wako vizuri kwa kweli
Nimekujibu mkuu
Switz wanaweza kupata hayo magoli mawili aisee,ila ili Ecuador asonge anatakiwa amfunge France.France nae hatakubali kufungwa,maana anajua Switz ana nafasi ya kusonga mbelewanatakiwa wapate magoli mengine mawili maana ecuador wakimpiga france 1-0 na matokeo yakabaki 2-0 basi wanakwenda nyumbani
Mbona sijayaona majibu Mkuu?