World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Shame on you, Man Utd, Shame on you. Refa kakosea pale btw Yellow ingekuwa sahihi.
 
wanatakiwa wapate magoli mengine mawili maana ecuador wakimpiga france 1-0 na matokeo yakabaki 2-0 basi wanakwenda nyumbani

_75840354_aa05dcdc-b8d0-4351-8347-68eaa7f40c71.jpg

Mbona nigeria na ivory cost haipo hapo?
 
CHANCE! Noboa squanders a gold-plated opportunity to put 10-man Ecuador 1-0 up. He may live to regret that.
 
Shame on you, Man Utd, Shame on you. Refa kakosea pale btw Yellow ingekuwa sahihi.

[h=3]Former England defender Phil Neville[/h]MOTD analyst

[h=4]Ecuador 0-0 France[/h]Posted at
"People will say Antonio Valencia's studs were up but his foot came off the ball and made contact with Lucas Digne, who had gone to ground early."
 
duuu antonio valencia red card sasa hapa sijui mangapi tusibiri
Ni kama tit-for-tat vile. Jana refa m'Equador' alitoa penalty dhidi ya Ivory Coast dakika ya mwisho, leo refa m'Ivory Coast' amejibu mapigo kwa kumpa m'Equador' red card.
 
huyu montero wa ecuador anapenda sana chenga otherwise sasa wangekuwa wanaongoza 2-0
 
umeelewa kinachoongelewa hapa? alinyimwa ruhusa kwenda kumuona wakati anaumwa sio baada ya kufariki....hata mimi huwa nauguliwa na si mara zote utapata ruhusa kwenda kumuona anaeumwa tena ukiwa bara lingine sio issue rahisi kihivyo.....ila hata ningekuwa mimi ningelalamika kunyimwa hio ruhusa ila sio kulialia hata usipoimbiwa happy birthday!
Kwa hiyo alicholalamikia Yaya ni sahihi, Man City walimnyima nafasi ya kwenda kuspend na dying brother wake. Wewe unavyomsema amekuwa diva sababu analaumu mwajiri wake kwa kumnyima nafasi ya kuwa na ndugu yake ambaye alikuwa mgonjwa si safi. Fikiria iwe wewe una ndugu yako aliye katika hali kama hiyo afu mwajiri wako anakunyima nafasi ya kwenda kumtembelea mgonjwa wako je utajisikia poa tu just kwa vile unaishi West? Hata huku West kuna watu wanapewa nafasi ya kuspend time na mtu aliye katika stage za mwisho wa life yake... comforting ni muhimu popote pale duniani.
 
Back
Top Bottom