Makosa yapi nigeria mpira umesha? Nimeangalia nikachoka nikaondoka
Ferguson sijui atakuwa anajisikiaje akimuona dogo Pogba anavyong'ara ..
Are you sure??
Shame on you, Man Utd, Shame on you.
Nigeria 2-3 Argentina.
Kwa hiyo anacheza tena?
wanatakiwa wapate magoli mengine mawili maana ecuador wakimpiga france 1-0 na matokeo yakabaki 2-0 basi wanakwenda nyumbani
Mbona nigeria na ivory cost haipo hapo?
Shame on you, Man Utd, Shame on you. Refa kakosea pale btw Yellow ingekuwa sahihi.
Anaenda 16 round
Ni kama tit-for-tat vile. Jana refa m'Equador' alitoa penalty dhidi ya Ivory Coast dakika ya mwisho, leo refa m'Ivory Coast' amejibu mapigo kwa kumpa m'Equador' red card.duuu antonio valencia red card sasa hapa sijui mangapi tusibiri
Hebu nenda kalale na maswali yako hayo
Kwa hiyo alicholalamikia Yaya ni sahihi, Man City walimnyima nafasi ya kwenda kuspend na dying brother wake. Wewe unavyomsema amekuwa diva sababu analaumu mwajiri wake kwa kumnyima nafasi ya kuwa na ndugu yake ambaye alikuwa mgonjwa si safi. Fikiria iwe wewe una ndugu yako aliye katika hali kama hiyo afu mwajiri wako anakunyima nafasi ya kwenda kumtembelea mgonjwa wako je utajisikia poa tu just kwa vile unaishi West? Hata huku West kuna watu wanapewa nafasi ya kuspend time na mtu aliye katika stage za mwisho wa life yake... comforting ni muhimu popote pale duniani.umeelewa kinachoongelewa hapa? alinyimwa ruhusa kwenda kumuona wakati anaumwa sio baada ya kufariki....hata mimi huwa nauguliwa na si mara zote utapata ruhusa kwenda kumuona anaeumwa tena ukiwa bara lingine sio issue rahisi kihivyo.....ila hata ningekuwa mimi ningelalamika kunyimwa hio ruhusa ila sio kulialia hata usipoimbiwa happy birthday!