Huu mpira mkali,mimi ndo nauangalia,kule kwa France na Ecuador naogopa BP[TABLE="class: league-wc, width: 468"]
[TR="class: match"]
[TD="class: fd, bgcolor: #EEEEEE"]71'[/TD]
[TD="class: tl, bgcolor: #EEEEEE, align: right"]Honduras[/TD]
[TD="class: fs, bgcolor: #EEEEEE, align: center"]0 - 3[/TD]
[TD="class: tr, bgcolor: #EEEEEE"]Switzerland[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Xherdan Shaqiri kapiga hat-trick
Huu mpira mkali,mimi ndo nauangalia,kule kwa France na Ecuador naogopa BP
Huu mpira mkali,mimi ndo nauangalia,kule kwa France na Ecuador naogopa BP
Nimeipenda hii!Ni kama tit-for-tat vile. Jana refa m'Equador' alitoa penalty dhidi ya Ivory Coast dakika ya mwisho, leo refa m'Ivory Coast' amejibu mapigo kwa kumpa m'Equador' red card.
For some reasons, siamini kama ni kweli alilalamikia kuwa hajaimbiwa wala kupewa Happy birthday. Kwa mtu aliyekulia Afrika kama Yaya siamini kama anaweza kulilia birthday, unaweza kukuta kuna baadhi ya birthday zake ziliwahi kumpita bila kujua au kula keki au kuimbiwa happy birthday. Hii issue inaweza kuwa udaku wa waandishi wa UK/Europe.
Tatizo nipo France team,sasa nikiona mpira unaelekea kwenye goal la the bleus nasikia moyo unakwenda kasi,ikabidi niadili chanelUsiogope mama, ndo mpira huo
Refa anatoka nchi gani?
hawa FRANCE kwa mpira tunawachapa!!!#TeamNigeria
who is the man of the match btn ecuador and france??