hawa weupo mkuu hawatoki
Switz akipita Argentina lazima akae kwa kweli,Switz ni wakali ,Merci haoni ndani kwa Shaqirihawa weupo mkuu hawatoki
Who is the man of the match btn ecuador and france??
switz akipita argentina lazima akae kwa kweli,switz ni wakali ,merci haoni ndani kwa shaqiri
Na Marcello hayupo hapo??
Nani ataingia raundi ya 16 with France Matokeo yakibaki hivi?
Switz atawajoin FranceNani ataingia raundi ya 16 with France Matokeo yakibaki hivi?
ivory coast
Nilimsikia Giggs anamtaka Shaqiri awe new Giggs.
Mkuu hebu tutake radhi The Gunner...huyu Giroud ni mzigo kwa france kama alivyo mzigo kwa arsenal..........
Mkuu hebu tutake radhi The Gunner...
Mkuu hebu tutake radhi The Gunner...