World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

pole ila kama hii goal line technology inekuwepo wala refa asingehangaika mpira ungewekwa kati.

sheria za FIFA, mchezaji (ambaye sio kipa) akiuzuia kwa mikono mpira unaoingia golini, hilo linahesabika ni goli. Refa na FIFA hawakutaka ghana washinde ile mechi.
 
Dada Vick Argentina akitolewa na Uswis naomba uje kwenye harusi yangu!Nitaenda makaburini nioe jini!

Then Nigeria akimtoa France hii ya Benzema nipe adhabu yyt ile hata ya kutembea uchi Kariakoo nitatii
Acha hizo wewe Dogo,najua hiyo ya kuoa jini haiwezekani,ila jua Argentina anatoka.kuhusu Nigeria kumtoa France sio kazi rahisi,ila naamini Nigeria wapo Brasil si kwa Bahati mbaya hivyo lolote laweza tokea,ila tusubiri,sipati picha unatembea uchi pale kariakoo mpaka posta ya zamani
 
Kuna namna hawa watu wanafanya. Hii ni hujuma kwa kweli, hii ni mbinu ya kuziondoa timu tishio.
kama ni hujuma amefanya kocha wa CIV, amewatoa wachezaji ambao walikuwa wanauweka mpira mbele, akaingiza wachezaji ambao wanauweka mpira nyuma, matokeo yake ni penati.
 
Wamefanya vizuri kwa standards zipi? Ukitoa Giroud, na Ozil kidogo, nitajie mchezaji mwingine wa goons hata mwenye shot on target!!!

Huku #ManUnited wachezaji sita wametupia nyavuni (RvP, Nani, Chicharito, Rooney, Fellaini na Mata), huku kocha wa timu akionyesha balaa litakalokuja EPL!

Dah leo mnamfagilia Fellaini juzi juzi mlikuwa mnamtukana yeye na Moyes, kweli duniani kuna vigeugeu vingi. Afu usimhesabu Rooney kuwa kafanya la maana goli lilikuwa tap-in, jamaa alichemsha kinoma na ndio sababu mojawapo ya kuchemsha kwa "Three Cubs". Mata hajafanya lolote zaidi ya kufunga goli moja katika mechi isiyo na maana alikuwa sub asiye na mpango, kacheza dk 34 tu inaonyesha jinsi gani alivyokuwa garasa ndani ya Spain mbovu kama hii. Nani naye ndo wale wale kina Gervinho wanaofunga magoli ya kindondokela. LVG atahesabika(technically) kocha wa Man Utd siku akiongoza timu yenu uwanjani (mazoezini, kirafiki, mechi official). Man utd hamna la maana la kujisifia, acheni kujikweza.
 
Nadhani France wali take easy mechi hii. Ingawaje nimeona mechi moja ya Argentina nadhani jamaa wapo laini ukilinganisha na France. Mechi zote za Argentina wameshinda kingangari ukilinganisha na mechi France walizoshinda. Anyway, tusubiri mtowano tutaona mabadiliko ya kila timu yalivyo. Kesho Ujerumani watauza mechi vs USA kumzuia Ghana, mama'o zao wakifanya hivi.

Kwa hiyo Africa tumebakiza team gani mzunguko wa 16 bora?!
 
Ila kusema ukweli Nigerians ughaibuni wanatutandikia mno dada zetu kwa kuwalaghai kama ni watoto wa Gavana lkn hii sio sababu ya kutowashangilia bana

nilikuwa nawashabikia wakati bado sijatoka nje ya bongo. hawa watu wanadhani wao ndio waafrika pekee wenye akili, wanadharau nyingi lakini washamba tu. dada zetu (majority) nao wanatuangusha yani kwa wanigeria ni kama kuku mtetea anayechuchumaa hata bila kukimbia kidogo.
 
nilikuwa nawashabikia wakati bado sijatoka nje ya bongo. hawa watu wanadhani wao ndio waafrika pekee wenye akili, wanadharau nyingi lakini washamba tu. dada zetu (majority) nao wanatuangusha yani kwa wanigeria ni kama kuku mtetea anayechuchumaa hata bila kukimbia kidogo.

Niliwahi achwa na demu kisa Nigerian kamuambia yy ni mtoto wa Bilionea na wataenda wote Abuja!
Anyway mkuu hapa tunajadili soka tu ahahahaah
 
Paulo Bento says he will not quit as coach of Portugal even his side fails to progress past the group stage of the WC
 
Back
Top Bottom