World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Casilas, Xavi,Alonso wanapaswa kustaafu still kuna vijana kina Koke,De Gea, Thiago,Isco,Mata wanakosa nafasi
 
rubaman

Nilikuwa ninawasikiliza pundits kabla ya mechi wakawa wanasema , jana walikuwa wanamuhoji kocha wa Spain, wakamuuliza haoni kama mwaka huu ndio the end of the era of Spain{ukiangalia umri wa wachezaji, viwango vyao}, akawa mkali kujibbu/kukubali

Ila sasa nimeungana na hao waandishi wa habari
 
Last edited by a moderator:
Bingwa mttezi wa kombe la dunia k2piwa magoli 5,kwa moja na wale wale aliokutana nao kombe la dunia fainali .hi ina manisha mwaka 2010 spain ili bahatisha kumfunga uholanzi ila sio uwezo
 
Spain wakatoe kombe walipoliweka walifutefute na vumbi mapema,kama ni store au makumbusho ya club wafanye hivyo maana sio bingwa mtetezi tena kishagawa kikombe.
 
Casillas kichaka! Monrinho na Achelotti walimdrop, huyu jamaa anamn'gangania ..
 
La Campions wenu wa dunia haoooooo mliokuwa mnawapigia debe tafuteni timu nyingine.
Watageuka wale waliokuwa wanawapigia debt wewe nenda kurasa ya kwanza utawaona alafu rudi huku uone ngozi ya chatu wameivua.
 
Ahsanteni sana Holland, poleni sana mabingwa watetezi leo mmekuwa watelezi.
 
Hata brazil nina mashaka nao ingiwa walishnda jana tena kwa penalt ya kupewa ila hawatafika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…