World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamani la 6 tayari au bado? Ramos hayumo? Teh teh teh atakoma leo.
 
Leo Holland wangeweza hata kufunga 8

Ha Ha Ha mzigo Torres alikuwa nataka afungaje?
 
Namwona platini jukwaani nafikiri anachek jinsi goal technology inavyofanya kazi
 
Schneider anakosa goli la wazi la 7..Torres nae mama yangu yeye na goli duh!
 
Himaya ya Spain IMEVUNJIKA!Spain out rasmi leo!Kwa kiwango hiki Chile anamzaba kiurahisi sana
 
Mabingwa watetezi wamebamizwa vibaya kwa magoli 5 kwa 1. Na Mpira umekwisha.
 
He hehehehe masikini Torres mara ngapi tutamuonea huruma Belo Kasema kweli kuna vijana wengi Spain wakucheza sasa sio hawa Mie nafikiri hata Santa Carzola alitakiwa mwanzo kwa Spain hii basi tena Torres mazoezini anakosa goli hapo ndio dah pole Fenando Torres.
 
Back
Top Bottom