HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ronaldo anataka kujitutumua kwetu, na analitafuta bao kwa udi na uvumba.
Umeliona eeehe jamaa anatupia ile mbaya haya mashuti yakikuta kichwa basi ICU inakuhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ronaldo anataka kujitutumua kwetu, na analitafuta bao kwa udi na uvumba.
kweli jamaa ni boya
#team Portugal Woyeeeee!!!
Gooooooal wamejifunga wenyewe
Kama umesimama bora ukae maana utaweza dondoka.
Mimi nashabikia Algelia sababu ina nafasi ya kuendelea mbele. Ghana sio kuwa hawawezi wanaweza tatizo ni USA kule
Nabadilisha channel hapa na nitarudi later kwa wale teamGhana, sababu mambo si mazuri upande wangu. Moyo unameguka vipande vipande.
jamaniiiiiii
hapo ndo anadhidi kutudhihirishia kuwa "africa is a dark continent"
Jamani huu mpira mkali sana ghana vs portugal
Nabadilisha channel hapa na nitarudi later kwa wale teamGhana, sababu mambo si mazuri upande wangu. Moyo unameguka vipande vipande.