World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ghana wanaiga mpira wa ureno , walitakiwa wacheze mpira wa kasi
 
Ghana walijua HAWAENDI popote na ndiyo maana WAMEWAFUKUZA kwenye team yao Kelvin Boateng na Muntari!Team ambayo ina matumaini HAIWEZI fukuza wachezaji wake tegemezi katikati ya mashindano
 
Nabadilisha channel hapa na nitarudi later kwa wale teamGhana, sababu mambo si mazuri upande wangu. Moyo unameguka vipande vipande.
 
Mechi nyingine ya USA na Ujerumani ni usanii mtupu!!!! Wanakimbiakimbia tu uwanjani. Timu moja inaenda na mpira inapokaribia goli la mwenzake wanaurudisha nyuma na kuanza tena na kuishia kuupoteza na timu nyingine nayo inafanya hivyo hivyo. Kuna mashuti ya kisanii yamepigwa sijui mawili matatu. Hii mechi itaisha kwa 0-0.

Jamani huu mpira mkali sana ghana vs portugal
 
mtangazaji anasema the boy was so determined kupangua mpira matokeo yake anaishia kujifunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…