World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Spain wakatoe kombe walipoliweka walifutefute na vumbi mapema,kama ni store au makumbusho ya club wafanye hivyo maana sio bingwa mtetezi tena kishagawa kikombe.

Haha polee yao asee mpaka nahisi labda hii ni play station
 
Kudadeki yaani ji mashutiii kama wanashindilia mangumi mwiZi
 
Roobeeeeeeeeeen aaaaaaaah hawa vijana wanaweza wakawaua watu.
 
kudadadekiiii Leo utafikiri Cinema Mbu enzi za Drive In Tambara la Holland halina chenga hata Tanesco mpira huu hawatokubali kukata umeme.
 
Spain wachezaji gauge imesoma sana,nertherland mkubwa sana Roben anamiaka 32 na yuko fit balaa..
 
tiki taka tiki taka imepotelea wapi mwaka huu? Mliambiwa since dominance ya Barcelona ilipoisha na ubabe wa Spain nao umekufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…