World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mhhh African jamani Mungu tulimkosea nn?Beki unaenda kumkinga kipa wako kama ni kipa wa team pinzani?
 
Goli limeingia kijinga sana, kipa alidhani anaokoa kumbe anampelekea adui vizuri dah.
 
Kwa matokeo haya mpaka sasa nani atapita katika kundi hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…