World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kwani hawajalipwa posho yao?

Majibu hayo hapo chini....

Boateng na Muntari kuulizia posho zao kwa kocha WAMEFUKUZWA

Cameroon wao wote waligoma

Nigeria walikataa kushuka kwenye basi lao majuzi kwa madai ya posho

Ivory Coast wao walinyimwa posho pia lkn wakakubaliana wacheze

Algeria wao walilipwa posho yao YOTE tena waliongezewa zaidi na serikali yao

mzigo umeletwa cash ndani ya private jet...kufika brazil ukasafirishwa na convoy hadi kambini...vijana wakakabidhiwa na wale vinara wa kudai wakatimuliwa! africa bana...tunaiweza wenyewe
 
matokeo vipi,leo mimi siangalii,na nilivyopita tu hapa nikakuta ujumbe wa kuhusu thread ya Thebold ikabidi niende kule,naombeni matokeo wapendwa
Thread ya The bold inahusu nini na ipo wapi?
 
Last edited by a moderator:
Ila mbona kuna taarifa zingine zinasema Boateng alimjibu hovyo mkufunzi wa timu, na Muntari alimshambulia mmoja wa kiongozi wa timu ndio sababu ya kutimuliwa kambini.
 
Back
Top Bottom