Ghana jiungeni tena basi
bado wanajaza salio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghana jiungeni tena basi
tupeni update germany na usa......maanaaaa!!!
ger 1 usa 0
shida yetu sisi weusi hua hatudumu na magoli yetu
Hivi inamana Essien kaishiwa kiasi cha kutostahili hata kucheza dakika chache!?au mgonjwa?
ger 1 usa 0
Hawa ureno tuwakomalie ama watoke ama tutoke nao
Timu za africa zina uwezo mzur lakin kuna hujuma zipo hasa serikali.
usa 0 grmy 1
Ila hawa ghana hata wakitoka wameonyesha kua ni wakali balaa
Pepe anacheza kistaarabu sana leo