Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
asante iko jukwaa gani
Naona Ghana wamesawazisha.....
Tule burudani......Wanakkosaaaa paleeeee....Ghanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante iko jukwaa gani
Daaaah mbona BAN inaninukia hapa jamani CR7 nifanyie mambo nisijekosa uhondo hapa sijawahi fungiwa
Dah umefurahi
hahaha na wameanza mashambulizi almanusura liingie
hahaha na wameanza mashambulizi almanusura liingie
Dah nimeumia sana jamani
Naona Ghana wamesawazisha.....
Tule burudani......Wanakkosaaaa paleeeee....Ghanaaa
ger 1 usa 0tupeni update germany na usa......maanaaaa!!!
Timu za africa zina uwezo mzur lakin kuna hujuma zipo hasa serikali.