Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ronaldo ni mnoma joh!
German na ureno
USA na Ghana out
ngoja nikalale
J.Ayew ana pumbu kama busha.
Huyu mchezaji wa Ghana anamzigo....Duhh
Africa zipeleke timu 2 tu next WC.
Wanaopita ni German na USA coz Ureno ana GD ya -3 mpaka sasa wakati USA ana GD ya 0.
umefurahi sasa
Wanaopita ni German na USA coz Ureno ana GD ya -3 mpaka sasa wakati USA ana GD ya 0.
match ya Algeria ikiisha ndio na mimi mwisho kushangilia Africa