palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Ingekuwa Tanzania hizo hela twahesabu zishaliwa
Rushwa ya Kenya ni kama ya India; pamoja na kula rushwa kuna ushahidi yapo maendeleo. Sisi pamoja na kula rushwa matumbo ya viongozi ndio yanazidi kupanuka huku upana wa barabara zetu ukizidi kupungua! Trust me andybird314, nimewahi kuwakilisha taifa kwenye michezo kimataifa na niliapa kutomruhusu mwanangu kushiriki mpaka CCM itoke madarakani. Pamoja na kufisadi posho zetu, walitaifisha pasi zetu (passport) hadi siku tuko Airport tunarudi bongo! Hilo halitokei hata kwa jirani zetu Kenya...je una habari kuwa hata kuandika Katiba mpya karibu tunashindwa? Yaani tunashindwa kujenga msingi, hiyo nyumba kweli itasimama? Nakuomba wewe unitake radhi!Weee tutake radhi unaiacha wapi Kenya?
maswali mengi unajiuliza hii issue ya hela mara nyingi ni cameruni, ghana na nigeria. hatujawahi kuisikia timu za afrika kaskazini
Rushwa ya Kenya ni kama ya India; pamoja na kula rushwa kuna ushahidi yapo maendeleo. Sisi pamoja na kula rushwa matumbo ya viongozi ndio yanazidi kupanuka huku upana wa barabara zetu ukizidi kupungua! Trust me andybird314, nimewahi kuwakilisha taifa kwenye michezo kimataifa na niliapa kutomruhusu mwanangu kushiriki mpaka CCM itoke madarakani. Pamoja na kufisadi posho zetu, walitaifisha pasi zetu (passport) hadi siku tuko Airport tunarudi bongo! Hilo halitokei hata kwa jirani zetu Kenya...je una habari kuwa hata kuandika Katiba mpya karibu tunashindwa? Yaani tunashindwa kujenga msingi, hiyo nyumba kweli itasimama? Nakuomba wewe unitake radhi!
Kuna nini huko kwa Gwajima...?
Hapo Kaskazini ondoa Libya... Wana hali mbaya tokea anguko la Gadaffimaswali mengi unajiuliza hii issue ya hela mara nyingi ni cameruni, ghana na nigeria. hatujawahi kuisikia timu za afrika kaskazini
that is good maana wareno wangepita kale kajamaa sijui mnakaita cr kangetamba sana
Leo nimeweka mzgo,game ya Argeria na russia nimeweka mzgo.
wasitoke sare tu.
Huyu mjivun CR yeye anachoangalia ni kumzid Lion(Lionel) Messi tu. Hii humsababisha apatwe na kiwewe, badala yake anavurunda. Ona sasa timu yake imetupwa nje, nae kaambulia goli1 tu! Mwenzie Simba Messi anatupia karibu kila mechi, hilo linamuumiza sana CR!
Mzigo naanza kuweka kwenye hatua za mtoano.... 🙂Leo nimeweka mzgo,game ya Argeria na russia nimeweka mzgo.
wasitoke sare tu.