World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Africa nilitegemea Ghana itafika mbali,dah kweli africa imelaaniwa
 
Mkenya Origi anaingia kwa Belgium... Belgium wanafaidika kwa damu za kiafrika kama France
 
"assimilation policy" inawanufaisha ila waigereza haiwataki hiyo.

Muda si mrefu watabadilika. Juzi juzi kabla ya World Cup walianza kudiscuss hii kitu wanaona France, Germany, Belgium zinavyofaidika na vipaji vipya kila siku wakati wenyewe wanazidi kutokomea gizani na vipaji vyao vya kina Cleverly,Smalling, Wilshere,Welbeck nk
 
Hizi beki zote za kushoto na kulia za Russia zina yellow card. Algeria wangewatafutia red hawa jamaa
 
Muda si mrefu watabadilika. Juzi juzi kabla ya World Cup walianza kudiscuss hii kitu wanaona France, Germany, Belgium zinavyofaidika na vipaji vipya kila siku wakati wenyewe wanazidi kutokomea gizani na vipaji vyao vya kina Cleverly,Smalling, Wilshere,Welbeck nk

itawafaaa sana
 
Warusi wamekomaa hapa sio mchezo. Wanawapiga Algeria muda sio mrefu
 
Nasikiliza hii gemu kupitia TBC Taifa....Kuna mtangazaji anatangaza yani anaiga Sauti ya Salim Kikeke......Ameniboa sana....Yani mpaka inakera...

Watangazaji tuwe wabunifu....Yani unaiga mpaka sauti...Fool kabisa...
 
Asee Belgıum wapo vızurı naona halaf hawashındı golı nyıngı wala nını!!

Hata hivyo wapo pungufu kuna jamaa mmoja kala red card dk ya 45. Defour
 
Back
Top Bottom