Mkenya Origi anaingia kwa Belgium... Belgium wanafaidika kwa damu za kiafrika kama France
duu hawa wabaguzi wa kirusi watoke tu
"assimilation policy" inawanufaisha ila waigereza haiwataki hiyo.
Muda si mrefu watabadilika. Juzi juzi kabla ya World Cup walianza kudiscuss hii kitu wanaona France, Germany, Belgium zinavyofaidika na vipaji vipya kila siku wakati wenyewe wanazidi kutokomea gizani na vipaji vyao vya kina Cleverly,Smalling, Wilshere,Welbeck nk
Korea 0-1 Belgium
Asee Belgıum wapo vızurı naona halaf hawashındı golı nyıngı wala nını!!