Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
irigi ni mkenya aliyechukua uraia wa ubelijiji
Kubadilika bado sana ila Mjerumani ni timu nzuri ila nao Policy zao Mjerumani waliozaliwa Kama wale waturuki na polish wamezaliwa Kule Kule ujerumani England kavuka ujue mjamaica Africa itachukuwa muda ambaye hajazaliwa England sijui Kama itatokea.
Algeria wanacheza soka saafi sana!Wengi mtanicheka nikisema Germany wapo kwenye trouble siku inacheza na Algeria!
Ujerumani wameshamchezesha mchezaji aliyezaliwa Afrika katika timu yao Kombe la Dunia mwaka 2002, unamkumbuka Gerald Asamoah yeye alikulia Ujerumani lakini alizaliwa Ghana pia walikuwa na mtoto wa kisudan (mkimbizi) katika timu yao ya Under 20 (kama sikosei) miaka michache iliyopita, sijui aliishia wapi? Wachezaji waliozaliwa England wenye direct connection na Afrika hawapewi nafasi katika Three Lions (senior team) pia wale waliokulia England, sijui tatizo ni nini. England wanachofanya ni kuwapa nafasi katika timu yao B na senior kirafiki ili wapoteze nafasi ya kuchezea nchi nyingine eg kina Calton Cole, jamaa angekuwa mjanja angeshazea Nigeria sasa hivi.
![]()
Hapa inaonekana Fainali ni FRANCE Vs HOLLAND
Aisee umeongea point kubwa sana. Waingereza wana ubaguzi wa hali ya juu hata hao weusi wanaowachagua ni basi tu wafanyeje. Wamemuacha mfungaji mzuri wa magoli Dafoe, kwa England huyu ni mmoja wa wafungaji wazuri sana na alipoachwa kwenye timu alisikitika sana. Halafu kama yule Mkenya ambaye anachezea Belgium angekuwa England wala kuchaguliwa asingechaguliwa.