France wanajichukulia ushindi kilaini,ila ngoma itakuwa robo fainal maana wanakutana na Ujerumani,nina hakika ujeruman atafika robo fainali.There is no way Algeria akamfunge GermanyTimu yenu ya naigeria imegoma kufanya mazoezi kisa hawajapewa posho!
Umenena ukweli
Argentina wana wachezaji wafuatao ambao ni wazuri
Messi, Aguero ambae ameaga mashindano tayari, Di Maria huyu ndo mpiga crosss hatari, Mascherano, Higuin na wengine wazuri
Portugal its a one man team wote wanamtegemea Cr7
Online bookmaker 888poker terminate sponsorship with Luis Suarez after being banned for bite
Timu yenu ya naigeria imegoma kufanya mazoezi kisa hawajapewa posho!
Viongozi wa Afrika ndo moja ya chanzo cha timu zetu kutofanya vizuri katika World Cup. Nimesema ni moja ya chanzo, kuna vingine.
Hili swali wameuliza supersport kwenye page yao na karibu asilimia karibu 60 wamesema Ghana Vs German!
Pia game nyingine iliyotajwa sana pia ni Argentina Vs Nigeria!
Coming to you!
Do u agree on that? Or what has been the best match so far to you?
Kiuhalisia Ronaldo ni bora zaid ya Messi. Na mbwembwe zake za majivuno ni kawaida tu kila binadamu ana utashi wake. Kaifikisha Ureno ktk mashindano ya WC kw juhud binafsi akiwa na wachezaji wa kawaida wakat Messi anazungukwa na kundi kubwa la wachezaji classic sana.
Well, zaid Cr.7 ni majeruhi hakuwa poa ila nampenda zaid anapoonyesha bidii sana na uchungu mkubwa wa taifa lake. Mi hata mtu akiwa sharobaro vip lakin kaz yake ikiwa nzur mi nakubali na kusapoti 100% hata Neymar anafuata nyayo za Cr7.
Mkubwa, mimi binafsi namkubali sana cr7 kwa namna anavyojituma awapo uwanjani tena kwa juhudi kubwa sana, pia kama ulivyosema yeye cr7 ni bora kuliko messi nakubali bilb kipingamizi, ila tatizo la huyu bwana mdogo cr7 ana majivuno sana kupita kiasi. Hatukatai kujivuna ila uwe na ustaarabu japo kidogo. Unakumbuka alipofunga lile bao la mwisho kwa penati siku real madrid walipokutana fainali uefa na atletico madrid? Kuvua fulana hakukumtosha hadi akaamua kujipigapiga kifua huku kajivimbisha mwili? Yaani hua anajiona kama ni mchezaji wa pekee kuliko wengine woooote!
Yah mimi pia namkubali sana messi yaan ana nidhamu hana majivuno yaan katulia na ndo mana anazidi kupaa tuu.
muda mwengine kweli kila Nchi Ina haki Yao tukumbuke hata Taifa Stars tuna matatizo ya kuchukuwa Players Visiwani au Club zengine isipokuwa Yanga na Simba siku hizo ndio Azam majina ya a Simba na Yanga ndio yanaumiza vichwa wapo wahindi wazawa Tanzania japo sio wengi ila ni muda angalau tanzanian wakidosi achezee Taifa stars! Tuangalie na kwetu Kabla kupigia watu Kelele tizama South Africa wanao wazungu sababu Nchi Yao inao wazungu wa Kiafrica, Tanzania hata Zaramo Arabs za Kitanzania hazipewi nafasi itakuwa Wadosi? Tunachaguliwa wakina sisi tu Wakurya na Wazaramo huu pia sio ubaguzi?
England wanaojua mpira ni weusi weng wao na sio wazungu na waache kuwasifia sana kina rooney mpka wanajihis ni wa maana sana wakati hata hafikii kiwango cha Balotel. Wajifunze kwa Holland na France au USA na Brasil.
Aha ha ahaaaa usijali sana vitu kama hivyo ni hulka tu ya kawaida. Cr7 anafahamu hajafika level za De Lima,Zidane na legends zingine ila anachokifanya ni kufanya umma uwe attention dhid yake si unajua mtoto wa kitaa huyu.!!?
Tuache hizi Black egos, Mu-England gani mweusi anayeujua mpira anayejulikana na hajapewa nafasi kulinganisha na wazungu? Sometimes tuwe wakweli. England weusi na Weupe tunaowaona katika EPL wote wapo katika level inayolingana.
Hivi ingekua vipi kama angeweza kufikia japo robo tu ya Zizzu?
France wanajichukulia ushindi kilaini,ila ngoma itakuwa robo fainal maana wanakutana na Ujerumani,nina hakika ujeruman atafika robo fainali.There is no way Algeria akamfunge Germany
Well, zaid Cr.7 ni majeruhi hakuwa poa ila nampenda zaid anapoonyesha bidii sana na uchungu mkubwa wa taifa lake. Mi hata mtu akiwa sharobaro vip lakin kaz yake ikiwa nzur mi nakubali na kusapoti 100% hata Neymar anafuata nyayo za Cr7.
Yaani Suarez nikikuta anapambana na nyoka mi namsaidia nyoka kumpoteza hili mbwiga..-------- sana hata adhabu yenyewe ndogo hiyo.
Viongozi wa Afrika ndo moja ya chanzo cha timu zetu kutofanya vizuri katika World Cup. Nimesema ni moja ya chanzo, kuna vingine.