Mkubwa, mimi binafsi namkubali sana cr7 kwa namna anavyojituma awapo uwanjani tena kwa juhudi kubwa sana, pia kama ulivyosema yeye cr7 ni bora kuliko messi nakubali bilb kipingamizi, ila tatizo la huyu bwana mdogo cr7 ana majivuno sana kupita kiasi. Hatukatai kujivuna ila uwe na ustaarabu japo kidogo. Unakumbuka alipofunga lile bao la mwisho kwa penati siku real madrid walipokutana fainali uefa na atletico madrid? Kuvua fulana hakukumtosha hadi akaamua kujipigapiga kifua huku kajivimbisha mwili? Yaani hua anajiona kama ni mchezaji wa pekee kuliko wengine woooote!