World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

andate umeangalia mechi za Algeria lakini?? Wana spirit sana,wanajituma...Ujerumani jasho la meno litawatoka kuwatoa..
Kombe halitabiriki hili...

Halafu ukuta wa Urusi ulikuwa balaa siku ile, nyuma kulikuwa na watu sita ambao walikuwa wanawakaba watu wawili.
 
Maneno yako usije ukayakana mkuu!Sanchez au Vidal kesho analeta balaa huko Brazucal!

Sio kirahic brodha maana hata fernandinho leo ndan ya nyumba...ninavyowajua wabrazil hawawez wakaandaa michuano kwao halafu leo watoke 16 bora...kimpira inawezekana but kwa sambaboyz sio rahis mkuu
 
Maneno yako usije ukayakana mkuu!Sanchez au Vidal kesho analeta balaa huko Brazucal!

Mimi ni Shabiki wa Brazil huwa akitolewa na mimi ndo mwisho wa kuangalia Mpira.
Sitakana maneno haya tena kama Hao Chile watafunga magoli matatu basi naomba BAN ya miezi sita hadi mwakani ndo unifungulie Invisible
 
Last edited by a moderator:
Sio kirahic brodha maana hata fernandinho leo ndan ya nyumba...ninavyowajua wabrazil hawawez wakaandaa michuano kwao halafu leo watoke 16 bora...kimpira inawezekana but kwa sambaboyz sio rahis mkuu

Bora umenisaidia kusema hawa watu wanaichukulia poa sana hii Brazil
 
Nimeota eti Nigeria kamtoa Ufaransa...it was like 1-0 au 2-1 hivi ndoto haikuwa clear sana- ila Keshi alishangilia huyo balaa.
 
Algeria hawana speed???

Lahaula lakwata...!
 
Germany ni over rated tu mkuu!Algeria ina wachezaji wazuri individual kuliko mara 100 ya Ghana!Akina Foghouli wale wawili mmoja yupo Valancia mwingine Napoli na huko wanaxheza!Hasan Yabda na Bantaleb hamna asiyemjua Ulaya huku Haliche na wenzake wapo huko France!

Algeria ipo nondo sana,yanaweza jirudia kama ya mwaka 1974!
 
Uholanzi na Brasil wankutana nusu fainal,fainal ni France na Uholanzi.
 
Ujerumani hii hii ambayo GHANA alifunga magoli mawili na kukosa ya wazi kadhaa likiwemo counter attack dk za mwisho?? Au unazungumzia ingine?

Namuambia andate kuwa Germany is beatable team!Beki zake wa kati Boateng,Hummels na yule wa Arsenal ni wazito mno,Haliche atawasumbua mno
 
Last edited by a moderator:
Nimeota eti Nigeria kamtoa Ufaransa...it was like 1-0 au 2-1 hivi ndoto haikuwa clear sana- ila Keshi alishangilia huyo balaa.

Gwa kokaja!!
Nigeria hawajafanya mazoezi kwa siku 2 ya leo maana hawajalipwa hata senti toka wawe kambini then waje Brazil!Chama chao cha sokam wanasema zile dola Milion 8 za FIFA zilifika lkn wamejengea ofisi mpya!

Uongozi wa soka Afrika wote wapo sawa akili zao!Sasa utamtoaje France na management kama hii?
 
Miafrika Ndivyo Tulivyo....by Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:

pamoja na hivyo vipaji pia wana juhudi ya hali yajuu!!! wanajituma sana
 
wana haki ya kugoma kabisa kwa hali hii,ndiyo maana wakiwa uwanjani hawajitumi kabisa,morali ya kucheza utapata wapi huku ukijua mafao hamna?? duniani kote kuna ufisadi lakini ufisadi wa waafrika si wa maendeleo hata kidogo na tumezidi kabisa.
 
Dada sisi Africans sidhani kama tupo sawa kwenye akili zetu,sisi tuna laana!Ghana hadi wanagoma ndipo zinaletwa kwa ndege ya kukodi dola Milion 3 napo akina Muntari wakagoma kwa kuuliza kwa nn FIFA wametoa dola 8 Milion lkn viongozi ambao ni wachache wanakula dola 5 Milion na wanaocheza ambao ni 2 unawapa dola Milion tatu tu wagawane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…