World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mmmmh ilijaburani litakua linateleza..sio kawaid ya casillas
 
Yule Martin Indi sijui jamaa Kama chuma wachezaji wa Spain wanatamani wameambie manager wao Yule Gorrila hatumuwezi kupita Kule.
 






Robin van Persie of the Netherlands celebrates his teams first goal as Iker Casillas of Spain

Friday, 13 June 2014
SALVADOR, BRAZIL - JUNE 13: Robin van Persie of the Netherlands celebrates his teams first goal as Iker Casillas of Spain looks on in the first half during the 2014 FIFA World Cup Brazil Group B match between Spain and Netherlands at Arena Fonte Nova on June 13, 2014 in Salvador, Brazil. (Photo by Jeff Gross/Getty Images)
 
Spain haina beki. style ya mpira wanaocheza itabidi waibadilishe.kumbuka hata Brazil iliwacost sana na walihangaika kubadilisha style yao ya uchezaji.hiyo Total football sio dili tena.Kumbuka mwaka jana ktk fainali ya kombe la mabara ilipigwa goli 3-0 na Brazil lakini inaonekana bado hawajiulizi ni kwanini.
 
kangaroo sasa nao wajitaarishe kuokota mpira nyavuni akifungwa Chile Leo nipigeni life ban.
 
Holland masterclass!Spain humbled,hammered, humiliated!soka bhana!5-1 final score!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…