World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Enhee muda unatimu nawaona brazuu wametinga njano juu na nyeupe chini wakati huohuo Chile the unstoppable wako ndani ya uzi maridadi kabisa mwekundu juu na samawati chini, kwa kweli leo ni rrrraaha sana

Mkuu inaonekena kuwa una uhakika mkubwa sana kuwa chama lako halitakuangusha leo
 
everlenk umepita muda usishangilie au kusikitika alone kuja huku jukwaani


Nipo upande wa Brazil
 
Last edited by a moderator:
Dah!!!! Hawa imba yao ya wimbo wao wa Taifa utadhani wanafoka, enjoy the game.
 
Nyimbo za taifa za wenzetu hadi raha unaruhusiwa kupandisha mzuka sio bongo full kukakamaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…