Enheee wale wa #TeamChile tujuane kabisa, na ili mashindano haya yanoge na yapunguze fitina na kubebana inabidi brazil ang'olewe leo, Skype hapa nawasalimu wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani wanaoomba ban ikitokea kweli huwa wanapigwa?
Mkuu kwani wanaoomba ban ikitokea kweli huwa wanapigwa?
Wanachapwa,kuna mmoja nilimshikia bango kwa mods wakati wa VPL mpaka ombi lake likatekelezwa.
enheee wale wa #teamchile tujuane kabisa, na ili mashindano haya yanoge na yapunguze fitina na kubebana inabidi brazil ang'olewe leo, skype hapa nawasalimu wote.
naona kama sura ya tim howard yule kipa wa usa.!!!
Mkuu nakumbuka huyo mdau alikula ban kwa kosa lingine na si kwa kujiombea, hili suala lilitolewa ufafanuzi na mod mmoja kule jukwaa la ushauri na ilielezwa hivyo.
Bado kidogo tu muda ufike chile kumfungisha virago mwenyeji wa mashindano, ila kwa hila na uwongo wa marefa sijui kama itawezekana, hawa brazuka lazima watalazimishwa wapite hata kwa penalt + red card.
Shukrani kwa ufafanuzi skype!
Ahahah nyie watu bhana ronaldo mdororo hana kitu kwenye soka ukifananisha na messi.. Eti ronaldo hazungukwi na classic ina maana ina maana wachezaj wote mashuhuri wale.wa ureno hamjawaona wakicheza? achen upimbi bhana ukiangalia magoli yoye ya messi ya world cup ni jitihada zake zaidi.. Na ukitizama kwa makin mechi zote walizocheza argentina inaonekana wazi messi ndo anategemewa zaidi... Poor ronaldo world cup imethibitisha na tumejionea... Messi is the best player than vr
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamchile]#teamchile [/URL] #
leo lazima hawa brazuka wakae.
Team Brasil kwa leo