World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kimpira Brazil haivuki.
Ila kifitna itafika fainali!

Brazil wanacheza mpira kutokana na timu wanayokutana nayo...chile kafungwa mara 10 na brazil xo cdhan sana kama mambo yatakua tofaut leo ingawa naamin chile kimpira wapo vizur pia but watazidiwa mbinu tu na wazee wa samba..siamin sana kama Brazil ataaga michuano 16 bora..
 
Viongozi wa kiafrika wapuuzi sana...kwani hela hizo FIFA waliwapa kwa ajili ya kujengea ofisi au kulipia posho za wachezaji?
Algeria ndio imekuwa timu ya kwanza barani Afrika kufunga mabao 4 ktk mechi 1 haijawahi kutokea,na ilimchapa Ujerumani(wakati huo Ujerumani Magharibi)2-0 ktk uwanja wa el molinon jijini Gojon mwaka 1982 world cup nchini Hispania
 
Brazil wanacheza mpira kutokana na timu wanayokutana nayo...chile kafungwa mara 10 na brazil xo cdhan sana kama mambo yatakua tofaut leo ingawa naamin chile kimpira wapo vizur pia but watazidiwa mbinu tu na wazee wa samba..siamin sana kama Brazil ataaga michuano 16 bora..

Brazil hawezi kuaga mapema jamani Invisible hawa watu hawaamini ninachosema ikitokea Brazil amefungwa nipe BAN ya miezi sita na mingine utakayopenda.
 
Last edited by a moderator:
Algeria ndio imekuwa timu ya kwanza barani Afrika kufunga mabao 4 ktk mechi 1 haijawahi kutokea,na ilimchapa Ujerumani(wakati huo Ujerumani Magharibi)2-0 ktk uwanja wa el molinon jijini Gojon mwaka 1982 world cup nchini Hispania

Yaani hawa ndo nawakubali this time... wakikaza Ujerumani anachapika!
 
Mkuu hamna matuta..kwa kikoc cha Brazil kitakachoanza leo

Leo ushindi ni kipindi cha Kwanza tunamaliza kazi. Brazil hawawezi kuleta matani leo kwani zile Yellow card zimefutika leo either mpira au mchezaji ndo anapita
 
BrKR3aeCUAAeXTg.jpg:large

Msimu wa vinyozi kupiga hela...!
 
Brazil wanacheza mpira kutokana na timu wanayokutana nayo...chile kafungwa mara 10 na brazil xo cdhan sana kama mambo yatakua tofaut leo ingawa naamin chile kimpira wapo vizur pia but watazidiwa mbinu tu na wazee wa samba..siamin sana kama Brazil ataaga michuano 16 bora..

kwani ulikua unaamini Bingwa mtetezi Spain kutolewa kwenye round ya makundi?
be patient you will see what will hapen today to Brazilian team
 
Yaani hawa ndo nawakubali this time... wakikaza Ujerumani anachapika!

TUJIKUMBUSHE KIDOGO WORLD CUP 1982 ALJERIA 2 GERMANY 1. HAWA NDIYO WALIBADILI HISTORIA YA MPIRA KOMBE LA DUNIA MECHI ZA MWISHO KWENYE MAKUNDI KUCHEZWA MUDA MMOJA BAAADA YA UJERMANI MAGHARIBI NA AUSTRIA KUPANGA MATOKEO AMBAYO YALIMFANYA ALJERIA AAGE MASHINDANO. KUMBUKA MECHI ZA MWISHO KWENYE MAKUNDI ZILIKUWA ZINACHEZWA MUDA TOFAUTI KABLA YA 1982.

Last edited by a moderator:
Dada sisi Africans sidhani kama tupo sawa kwenye akili zetu,sisi tuna laana!Ghana hadi wanagoma ndipo zinaletwa kwa ndege ya kukodi dola Milion 3 napo akina Muntari wakagoma kwa kuuliza kwa nn FIFA wametoa dola 8 Milion lkn viongozi ambao ni wachache wanakula dola 5 Milion na wanaocheza ambao ni 2 unawapa dola Milion tatu tu wagawane

Halafu wanawatwisha mzigo wa kusema kwamba wamekosa nidhamu,mtu kuhoji haki yake tayari ni utovu wa nidhamu,kwanini FIFA nao hawahoji matumizi? hili jambo la wachezaji kutokulipwa wanalichukuliaje?
 
Brazil wanacheza mpira kutokana na timu wanayokutana nayo...chile kafungwa mara 10 na brazil xo cdhan sana kama mambo yatakua tofaut leo ingawa naamin chile kimpira wapo vizur pia but watazidiwa mbinu tu na wazee wa samba..siamin sana kama Brazil ataaga michuano 16 bora..

Na hiyo ni katka mechi 12 walzocheza hivi karibu. Kwa akili ya kawaida tu, leo Chile anafungasha virago.
 
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa. Ila natamani tujifunze kutoka kwa hao uliowataja na wengineo wa Ulaya kwa jumla. Licha ya kuwa wamezoeleka kufika mbali, wananchi wao hawakuwananga na kuwalaani kwa kutolewa. Wamewapa moyo. Del Bosque amepewa timu anedelee nayo hadi 2016. Sisi Afrika ambao hatukuzowea kufika mbali, timu zetu hunangwa na kusimangwa kila zinapotolewa, bila hata ya kuangalia mazingira ya kutolewa. Nilitegemea mara hii tujivune angalau kwa kufikisha timu mbili kati ya sita za awali kwenye 16 bora. Lakini wapi! Ni kama vile tunashindwa kuelewa kwamba zinazoingia raundi ya pili ni timu 16 tu, robo fainali ni nane tu, nusu ni nne tu, fainali ni mbili tu, na inayobeba kombe ni moja tu. Kwa timu 6 za Afrika, kikubwa zinazoweza kufanya ni zote kuingia 16 bora (hivyo kuziachia timu 26 zilizosalia nafasi kumi zilizobaki - inawezekana kweli?), kisha zote sita ziingie robo fainali (hivyo kuziwachia timu kumi zitazosalia nafasi mbili tu -inayumkinika?), kisha nne kati ya hizo zikutane kwenye nusu fainali (na kuzitoa timu nne zote zitazocheza robo fainali - inaingia akikini?), na hatimaye zenyewe mbili zikitane kwenye fainali. Uwezo wa kimpira kwa timu 6 kati ya 6 kuingia hadi robo fainali na baadaye mbili zao kulazimika kuachia unaweza kuwapo. Lakini kiuhalisia je? Namna rahisi ya kubaini ukweli wa hili ni kuwa hatima ya yote, timu 31 zinatakiwa kuachia kombe hilo kwa timu moja tu. Si kweli kwamba hiyo moja tu ndiyo itakuwa imefanya vizuri. Ziko za kwenye 16 zilizotolewa mwanzo zitazokuwa zimefanya vizuri ila zililazimika kuachia kwa kuwa nafasi hazikutosha, kadhalika nane zilizosalia, nne za nusu fainali na moja ya fainali. Kwa nini tusizichukulie baadhi ya timu zetu zilizotolewa kwa namna hii kuwa ni best-losers zilizokosa nafasi ya kuendelea kwa sababu haikuwapo, badala yake ni lawama, lawama, lawama?
 
Back
Top Bottom