World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Enheee wale wa #TeamChile tujuane kabisa, na ili mashindano haya yanoge na yapunguze fitina na kubebana inabidi brazil ang'olewe leo, Skype hapa nawasalimu wote.
 
Wanachapwa,kuna mmoja nilimshikia bango kwa mods wakati wa VPL mpaka ombi lake likatekelezwa.

Mkuu nakumbuka huyo mdau alikula ban kwa kosa lingine na si kwa kujiombea, hili suala lilitolewa ufafanuzi na mod mmoja kule jukwaa la ushauri na ilielezwa hivyo.
 
BrKR3aeCUAAeXTg.jpg:large

naona kama sura ya TIM HOWARD yule kipa wa USA.!!!
 
Ahahah nyie watu bhana ronaldo mdororo hana kitu kwenye soka ukifananisha na messi.. Eti ronaldo hazungukwi na classic ina maana ina maana wachezaj wote mashuhuri wale.wa ureno hamjawaona wakicheza? achen upimbi bhana ukiangalia magoli yoye ya messi ya world cup ni jitihada zake zaidi.. Na ukitizama kwa makin mechi zote walizocheza argentina inaonekana wazi messi ndo anategemewa zaidi... Poor ronaldo world cup imethibitisha na tumejionea... Messi is the best player than vr
 
Bado kidogo tu muda ufike chile kumfungisha virago mwenyeji wa mashindano, ila kwa hila na uwongo wa marefa sijui kama itawezekana, hawa brazuka lazima watalazimishwa wapite hata kwa penalt + red card.
 
Mkuu nakumbuka huyo mdau alikula ban kwa kosa lingine na si kwa kujiombea, hili suala lilitolewa ufafanuzi na mod mmoja kule jukwaa la ushauri na ilielezwa hivyo.

Shukrani kwa ufafanuzi skype!
 
Bado kidogo tu muda ufike chile kumfungisha virago mwenyeji wa mashindano, ila kwa hila na uwongo wa marefa sijui kama itawezekana, hawa brazuka lazima watalazimishwa wapite hata kwa penalt + red card.

Umeona enh..?mwaka huu kwa kweli Brazil kwishnehi!..wasubiri mgongo wa marefa tu
 
Ahahah nyie watu bhana ronaldo mdororo hana kitu kwenye soka ukifananisha na messi.. Eti ronaldo hazungukwi na classic ina maana ina maana wachezaj wote mashuhuri wale.wa ureno hamjawaona wakicheza? achen upimbi bhana ukiangalia magoli yoye ya messi ya world cup ni jitihada zake zaidi.. Na ukitizama kwa makin mechi zote walizocheza argentina inaonekana wazi messi ndo anategemewa zaidi... Poor ronaldo world cup imethibitisha na tumejionea... Messi is the best player than vr

cr7 yeye anapenda sana masifa, ujivuni, kujiona hakuna mwingine ila yeye tu dunia nzima. Akwende zake huko akawe mtazamaji boya kabisa.
 
Ni kweli kabisa mwangalingimungu kwa timu za africa safari hii tunaweza kusema zimefanya vzr kwa kuingiza timu mbili kwenye 16 bora, lakini kwa timu zetu za africa inabidi zitumie uwezo wake na mbinu zake zote..timu kama ghana au ivorycost wanaonekana wana uwezo zaidi lkn hawautumii wote..pamoja na kuwa na malengo zaidi..ila kwasafari hii atleast
 
Back
Top Bottom