World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Neymar kaisha anza visingizio kuwa in case HAJA PERFOM vyema aseme aliumia mapema
 
Mungu wa israel naamini yupo upande wa watakatifu chile na kamwe hawezi kuwasaidia wauza unga brazuka.
 
Jana FIFA wamesema kuanzia 2018 wamesema kuwa watakuwa wanahitaji majina 23 ya wachezaji walio teuliwa na pesa zao zinaingia direct kwenye akaunti zao!Milion 8 dola kuanzia 2018 hazitumwi tena kwenye chama cha soka cha nchi
Hii itakuwa safi lakini vyama vyetu vilivyooza inawezekana kabisa wakaingia mou na wachezaji kuwa wagawane nusu kwa nusu la sivyo hawachaguliwi....
 
Haya ndo mambo walitakiwa kuyafanya tangu 1998.Lakini nijuavyo viongozi wa michezo wa Africa wataprotest hii kitu pia watatafuta jinsi ya kuchakachua pesa za wachezaji
 
Webb anachotakiwa ni kuzima tu simu yake ili baadae wakati wa mapumziko asipigiwe kuwa abebe hawa jamaa
 
Hii itakuwa safi lakini vyama vyetu vilivyooza inawezekana kabisa wakaingia mou na wachezaji kuwa wagawane nusu kwa nusu la sivyo hawachaguliwi....
Dah! hii inasound kama vile baadhi ya vibosile vinavyopanga kuchagua wafanyakazi bora katika idara zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…