Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kipigo kipo palepale.
Ni yeye mkuu
Hii itakuwa safi lakini vyama vyetu vilivyooza inawezekana kabisa wakaingia mou na wachezaji kuwa wagawane nusu kwa nusu la sivyo hawachaguliwi....Jana FIFA wamesema kuanzia 2018 wamesema kuwa watakuwa wanahitaji majina 23 ya wachezaji walio teuliwa na pesa zao zinaingia direct kwenye akaunti zao!Milion 8 dola kuanzia 2018 hazitumwi tena kwenye chama cha soka cha nchi
Jana FIFA wamesema kuanzia 2018 wamesema kuwa watakuwa wanahitaji majina 23 ya wachezaji walio teuliwa na pesa zao zinaingia direct kwenye akaunti zao!Milion 8 dola kuanzia 2018 hazitumwi tena kwenye chama cha soka cha nchi
Mungu wa israel naamini yupo upande wa watakatifu chile na kamwe hawezi kuwasaidia wauza unga brazuka.
Natamani Brazil wale kichapo...
Dah ndo wamemuumiza Neyma
umeme umetutoka.tanesco please please
Dah! hii inasound kama vile baadhi ya vibosile vinavyopanga kuchagua wafanyakazi bora katika idara zaoHii itakuwa safi lakini vyama vyetu vilivyooza inawezekana kabisa wakaingia mou na wachezaji kuwa wagawane nusu kwa nusu la sivyo hawachaguliwi....
Hahahateh teh teh ahaa vijana machachari Chile wanakosakosa kutengeneza majaro hapa aaaiseee!