World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Hii itakuwa safi lakini vyama vyetu vilivyooza inawezekana kabisa wakaingia mou na wachezaji kuwa wagawane nusu kwa nusu la sivyo hawachaguliwi....

kweli patakuwa na vitisho kibao,Fifa itabidi waje na mikakati mizuri. CAF nao inabidi waige huu mfano
 
Hii game ya leo iwe kwa penalt au ngumi leo brazil anashinda
 
Webb leo kadi ameacha chumbani au haoni wanatuumizia watu
 
Leo penalty iwe ya ukweli sio kama hizi anazo pewa Brazil please Webb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…