Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umaarufu wa Brazil umeporomoka sana...
Hii itakuwa safi lakini vyama vyetu vilivyooza inawezekana kabisa wakaingia mou na wachezaji kuwa wagawane nusu kwa nusu la sivyo hawachaguliwi....
c.c: andybird314Hiyo ni pai mkuu hakuna mjadala
Na ndio walikuwa wanataka hicho maana wamempania kwelikweli leo hawa chile.
huyu neymar watamtoa muda si mrefu
Chile akimfunga brasil ndo mwisho wa dunia.
Natamani Brazil wale kichapo...
Dah jamani
Mbona howard webb hajatoa kadi ya njano kwa ile faulo aliyocheza FENANDINHO?