webb ndo anafaa kuchezesha mechi zenye presha kama hizi na anataka kumkaribia colina
Ukishabikia chile una kuwa na mpango kusababisha watoto wako wawe yatima na mke kuwa mjane.
Chile hao safari imeanza kuwakumba
wacha maneno yako weye
Eeeeeeeh sema sasa
Unajitafutia magonjwa ya moyo ndugu yangu, niko nawe hapa lakini siwezi kujipa ujasiri wa kubusu mamba shavuni kwa kuahiidi kama wewe.Kuna watu wanaongea sana hawa watu wakifunga mimi Invisible nipe BAN ya miezi nane kama watashinda hii mechi
wacha maneno yako weye
Ha ha habar ndo iyo..!