World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kuna watu wanaongea sana hawa watu wakifunga mimi Invisible nipe BAN ya miezi nane kama watashinda hii mechi
Unajitafutia magonjwa ya moyo ndugu yangu, niko nawe hapa lakini siwezi kujipa ujasiri wa kubusu mamba shavuni kwa kuahiidi kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
Brazil watayaaga robo fainali afu fujo zitatokea Brazil nzima.
 
Back
Top Bottom