World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

BAK nakuona hapo unavyoruka ruka kufurahia umewahi kula lakini?



TEAMbrazil
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Huyu Neymar wanataka atoke ndani ya kipindi cha kwanza. Chile wanaharibu mpira sana kwa style hii
 
Neema kaanza kudanganya akikuguswa kdogo tu anajirusha utazani kapgwa shock ya umeme!
 
hahahaaah,,,,,,kwa kuwa wanajua.

Mkuu Brazil ya kipindi hiki siyo ile ya kina Roberto Carlos.....Mwaka 2006 nilidondosha chozi baada ya Brazil kutolewa...

Sikuona hata maana ya kuendelea kuangalia World Cup....
 
Neymar anatuharibia flow ya game!Analia lia sana tofauti kabisa na wenzake akina Ronaldo miaka ile!I hate this boy!Tunataka kuona soka bana sio kujiangusha jiangusha ukibanwa tu
 
Huyu Ney atolewe tu, maana jamaa wamepanga kummaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…